Your help needed

As we committed ourselves to have our own premises for an improvement and to provide high quality of Islam education for the muslims in Leicester, Madrasatul Noor Leicester would like to take an oppertunity to inform every one who wish to contribute and to support our project to use our account below: Madrassatul Noor Leicester Lloyds TSB Bank Account number: 45127768 Sort Code: 30-94-97 International Bank account: LOYDGB21029 GB27LOYD30949745127768 If you would like to have more information please do not hasitate to contact us through these emails: madrasatulnoor.01@gmail.com or fcalwattan@gmail.com With a lot of thanks

31 Dec 2011

Nimeipenda hii


Muslim women
Masha Allah

29 Dec 2011

Was Jesus crucified? - Ahmed Deedat

President Obama admited that he is a Muslim?

Riba - Nurdin Kishki

Video: Joshua Evans "How the bible led me to Islam"



Mashaallah

Video: Muslims are our fellow Americans


Muslims are part of the national fabric that holds our country together. They contribute to America in many ways, and deserve the same respect as any of us. I pledge to spread this message, and affirm our country’s principles of liberty and justice for all.

 Source: www.myfellowamerican.us

Message From Christian Sister - For Those Whom Hate Islam

Video: Majeshi wafanya dhihaka ndani ya msikiti huko Syria

Nimeipenda hii


Masha Allah

Jipime kiasi gani unaijua Quran



  1. Sura ngapi zimeteremshwa Makka na ngapi zimeteremshwa Madina?
  2. Sura gani haina Bismillah na sura gani ina Bismillah Rahman Raheem mbili?
  3. Sura gani inajulikana kama "Moyo wa Quran"?
  4. Sura gani ambayo neno Allah limetajwa katika kila aya zake?
  5. Sura gani imeshauriwa isomwe siku za Ijumaa kabla ya swalat Juma'a?
  6. Sura gani iliyoteremshwa ambayo haina mi'm?
  7. Sura gani imegawanyikakwa Malaika wakuu wanne wa Mwenyezimungu?
Ukifanikiwa kujibu maswali hayo sahihi, basi Masha Allah Qur'an unaifahamu kiasi.

26 Dec 2011

Hatupaswi kusheherekea mwaka mpya wa kikafiri


Imepokelewa toka kwa Abu Sa’iyd Al-Khudhriyy (RA) kwamba Mtume (SAW) amesema:
لَتَتَّبِعُنَّ سَنَنَ مَنْ قَبْلَكُمْ شِبْرًا بِشِبْرٍ وَذِرَاعًا بِذِرَاعٍ حَتَّى لَوْ سَلَكُوا جُحْرَ ضَبٍّ لَسَلَكْتُمُوهُ, قُلْنَا يَا رَسُولَ اللَّهِ, الْيَهُودَ وَالنَّصَارَى؟ قَال: فَمَنْ
“Mtafuata nyendo za watu waliokuwa kabla yenu, kiganja kwa kiganja, mkono kwa mkono, hata wakiingia kwenye shimo la kenge mtawafuata)). Tukasema: Ee Mjumbe wa Allaah, ‘Je, Unamaanisha Mayahudi na Manaswara?’ Akasema: Kwani nani zaidi ya wao?” [Al-Bukhaariy na Muslim]
Tunakaribia kuingia mwaka mpya wa Kikristo (wa kalenda ya Papa Gregory ijulikanayo kama ‘Gregorian Calendar’), na kuna Waislamu wengi tunaosherehekea mwaka huo mpya kama wanavyofanya makafiri, jambo ambalo halimo katika mafundisho ya dini yetu Kiislamu.

Imekuwa ni kawaida Waislamu kujiunga na wafanyakazi wenzetu, marafiki zetu au majirani zetu kusherehekea sherehe hizi potofu, na kuwa na tabia isiyoendana na mwenendo na mafundisho ya dini yetu tukufu. Hivyo tumeona ni muhimu tuwatumie ujumbe huu ndugu zetu popote walipo wajiepushe na mambo haya ya uzushi ya kuiga makafiri.

Swali ni kwamba, Vipi Muislamu ajitengee siku kama hizo na kusherehekea? 

Jibu kutoka kwa Mwanachuoni wa Ummah, Shaykhul Islaam Ibn Taymiyyah kwamba:
"Sisi Waislamu tusifanye jambo lolote lilokuwa si la kawaida katika siku hizi. Iwe kama siku yoyote nyingine katika maisha yetu bila ya kuwa imekhusishwa na lolote kama mfano wao watu wa Vitabu walivyokuwa hawasherehekei wala kuzifanya siku zetu za ‘Iyd kuwa ni khaswa (maalum) kwao."


Allah (SA) ametuonyesha ubaya wa makafiri katika aya nyingi kama hii ifuatayo:
إِنَّ الْكَافِرِينَ كَانُواْ لَكُمْ عَدُوًّا مُّبِينًا
Hakika makafiri ni maadui zenu walio wazi wazi.” [An-Nisaa: 101]
Vile vile Amewaita kuwa ni jamaa wa mashaytwaan na vikosi vyao.

Kuungana na Ahlul-Kitaab katika sherehe zao imekatazwa kama vile ilivyokatazwa kuungana na washirikina. Asibishe mtu kusema kuwa imemaanishwa ni washirikina peke yao na kwamba watu wa vitabu wana mielekeo au mila kama ya Waislamu takriban.

Shaykhul Islaam Ibn Taymiyyah ametoa dalili za kuharamishwa kusherehekea Krismasi, sherehe za wafursi kama Neyrouz, Sherehe za Mayahudi na nyinginezo (kama hizi za mwaka mpya) kwa kusema kwamba zote zinakuja katika hukumu hiyo hiyo moja.

Muislamu anapaswa kukataa mwaliko huo wa kusherehekea mwaka mpya hata kama mwaliko huo umetoka kwa Muislamu mwenzake.   


Mtume (SAW) ametukamilishia dini yetu kabla ya kufa kwake na ametujulisha kila jambo lililokuwa jema na ametukataza kila jambo lililokuwa baya. Kwa hiyo katika mafundisho yake ya Sunnah hakuna hata mwaka mmoja uliothibitika kwamba Maswahaba walisherehekea mwaka mpya unapoingia hata wa Kiislam sembuse huo wa kikafiri!

Katika Sunnah, Anas bin Maalik (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema:
‘‘Mtume (SAW) alikuja Madina na walikuwa wana siku mbili ambazo walikuwa wakipumzika na kustarehe pamoja na kucheza. Mtume akauliza: "Hizi ni siku gani?" Wakajibu: Ni siku ambazo tulikuwa tukicheza na kustarehe katika Ujaahiliya". Mtume (SAW) akawaambia: "Allaah Amekupeni zilizo bora kuliko hizo; Yawmul-Adhwhaa (‘Iydul-Adhwhaa) na Yawmul-Fitwr (‘Iydul-Fitr) )) [Abu Daawuud]

Hii inaonyesha dhahiri kwamba Mtume (SAW) ameharamisha Ummah wake kusherehekea sherehe za makafiri na amefanya hima kuzifuta kwa kila njia.

Sababu mojawapo ya kuharamishwa sherehe zao kama za mwaka mpya ni kwa sababu ya maovu, uchafu na fitna zinazotokea humo. Na hata kama hakuna maovu yanayotendeka humo lakini kusherehekea kutasababisha uzushi huu kuendelea katika vizazi vyetu na kusababisha kuingiza mila za kikafiri ndani ya Uislamu. 

Makafiri ni maadui wetu na maadui wa Allah (Subhaanahu wa Ta’ala) Kwa hiyo inatupasa tujiepushe nao kadiri tuwezavyo ila tu kwa yale tuliyoruhusiwa katika sheria ya Kiislamu. 

‘Umar Ibnul-Khatwtwaab amesema: "Jiepusheni na maadui wa Allaah katika sherehe zao"


Imeripotiwa katika mapokezi sahihi kutoka kwa ‘Abdullaah bin ‘Amr akisema: “Yeyote anayeishi katika nchi isiyo ya Kiislam na akasherehekea sherehe yao ya mwaka mpya, na kuwaiga na akafa katika hali hiyo, basi atakusanywa pamoja nao siku ya Qiyaamah”.

Wa Allaahu A’alam

Christian Brother Accepts Islam


Allah Akbar

Ugandan woman sentenced to death in Malaysia


Nabweteme Hadija

A Ugandan woman who was caught at the Penang International Airport last year with with 2.3kg of syabu (methamphetamine) has been sentenced to death for drug trafficking by the High Court in Malyasia.

Judicial Commissioner Mohd Amin Firdaus Abdullah in his judgment said Nabweteme Hadija's defence had failed to raise reasonable doubt, according to the New straits Times

He said it would be illogical for the 56-year-old handicraft businesswoman to claim that she had not found something amiss with her luggage, which had a secret compartment where the drugs were concealed and found.


Amin said Nabweteme had packed the luggage herself and in all likelihood she should have felt something was wrong and become suspicious.

Amin said the investigating officer Chief Inspector Balber Singh had testified that Customs officers at the airport had informed him that there was something suspicious at the bottom of the bag and that the bag was also "hard".

"Therefore, her explanation (of not knowing about the drugs) is illogical," said Amin, adding that Nabweteme had also failed to furnish any document to support her claim that she had previously sent the luggage for cleaning.

On Nabweteme's claim that she had arrived in Penang to purchase jewellery, Amin said Penang was not famous for jewellery.

Nabweteme was charged with trafficking in the drug at the airport here on Sept 9 last year.

It was previously reported that she was detained by police here following information from police in Bangkok that she had filed a missing baggage report there.

She was represented by counsel S. Yagoo while deputy public prosecutor Mohd Amril Johari prosecuted

23 Dec 2011

Nimeipenda hii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk Ali Mohammed Shein,akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride rasmi la kikosi cha Polisi FFU,wakati wa sherehe za Sikuu ya Idd el Haj,huko jumba la wananchi Forodhani alipohutubia Baraza la Idd jana.
Rais wa Zanziabar na mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi akiwa ndani ya vazi moja maridhawa kabisa

Napoleon: My Story 'a talk given in Sweden'

Kutoka "Bad Boy" na kuwa "Good Muslim"


Amir Junaid Muhadith

Amezaliwa 20 June 1975 huko Harlem New York Marekani na alikuwa akijulikana kwa jina la Chauncey Lamont Hawkins. Aliamua kubadilisha jina lake baada ya kuamua kusilimu kwa kuwa alipata kujua ukweli juu ya Uislamu.

13 Dec 2011

Native Deen



Native Deen: Ni kikundi cha muziki cha kiislamu kinachotokea jijini Washington D.C. nchini Marekani.

Kundi hili linaundwa na watu watu nao ni: Joshua Salaam Naeem Muhammad na Abdul-Malik Ahmad.

Ni kundi la muziki wa hip hop ambalo huwa wanaimba nyimbo za kuuelezea uislamu.

Angalia moja ya video:

3 Dec 2011

Video: Tujitahidi katika sala zetu.

  • Sio tuswali tu ili mradi tuwe tunarukuu na tunasujudu tukafikiri ya kuwa huko ndio kuswali. Salah kama hii haitatiwa katika hesabu ya salah

Video: Shemeji yake Tony Blair asilimu