An Noor Community Leicester Inapenda
kuwatangazia waislamu wote ya kuwa Sala ya Eid itaswaliwa katika msikiti wa An
Noor sa mbili na nusu asubuhi (08:30 am).
Anuani kamili:
170a Belgrave Gate
Leicester
LE1 3XL
Kutakuwa na kifunguwa kinywa cha pamoja mara tu baada
ya kukamilika kwa sala ya Eid
Wabillah Tawfiq
Eid Mubarak to all. Awesome post! Thanks a lot for sharing.
ReplyDelete