MAKAMO wa kwanza wa
Rais wa Zanzibar, Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na viongozi wa
Benk ya watu wa Zanzibar, PBZ Tawi la Pemba wakati alipokuwa akiwasili katika
futari maalumu iliyoandaliwa na Benk hiyo kwa wateja wake huko ZSSF Chake Chake
Pemba.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na
Viongozi wa Serekali na wa PBZ, wakati wa futari Maalum ilioandaliwa na
Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd, kwa Wateja wake Kisiwani Pemba,
iliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya ZSSF Chakechake Pemba jana.
Wananchi na Wafanyabiashara Kisiwani Pemba wakipata futari maalum
ilioandaliwa na PBZ kwa ajili ya Wateja wao walioko Pemba na kujumuika
na Wafanyakazi wa PBZ Tawi la Pemba, futari hiyo imefanyika katika
viwanja vya hoteli ya ZSSF Chakechake Pemba jana.
Wananchi wakipata futari maalum iliandaliwa na PBZ Tawi la Pemba katika viwanja vya hoteli ya ZSSF Pemba.
Chanzo: Zanzinews
No comments:
Post a Comment