Waumini wa kiislamu Leicester wakisubiri sala ya Eid kusaliwa
Sheikh Saleh Juma akikumbushia suala la Zakatul Fitr kabla ya sala kuanza
Sheikh Abdalla Sane aijiandaa kwenda kusalisha sala ya Eid iliofanyika katika ukumbi wa Taylor Road School
Imam akisisitiza juu ya safu kuwa sawa kabla ya sala
Hatimae sala ikasliwa kwa salama na amani
Sheikh Abdalla Sane akitoa hotuba ya sala
Mwenyeiti wa An Noor Community Leicester Mohd Omar (mwenye koti) akiwa makini katika kufatilia hotuba
Kila mtu alikuwa makini katika hotuba hiyo
Mwenyekiti wa An Noor akihamasisha juu ya mchango wa jengo ambalo jumuiya ipo katia harakati ya kulinunua
Inshaallah hawa ndio wanafunzi watakaonufaika na jengo hilo ambalo jumuiya ya An Noor inalipigania kulipata
Kama kawaida ya kila Eid watu wote walikusanyika pamoja na upata kifungua kinywa katika jengo letu la chuoni
Baadhi ya wajumbe wa An Noor Community Leicester baada ya kukamilisha shughuli yote ya suala zima la Eid