Jengo linavyoonekana kwa mbele, baadhi ya wajumbe wakiwa wamesimama katika mlango mkubwa wa kuingilia ndani ya jengo hilo
Mwenyekiti na Katibu msaidizi wa Kamati ya Madrasatul Noor wakiwa katika eneo la kuingilia katika ukumbi mkubwa na picha ya chini wakiwa ndani ya ukumbi huo
Ngazi za kuelekea juu kwenye kumbi nyengine pamoja na vyumba na maofisi
Ukumbi mwengine uliopo katika ghorofa ya kwanza
Ukumbi mwengine mdogo katika ghorofa ya kwanza
Ukumbi mwengine katika ghorofa ya kwanza
Corridor ambayo inaonyesha baadhi ya vyumba katika ghorofa ya kwanza
Jiko ambalo lina store yake pamoja na freezer moja kubwa
Mwenyekiti na makamu wake pamoja na mjumbe mkuu wa Kamati wakijadiliana kitu katika moja ya eneo la jikoni
Wajumbe wakiendelea kujadiliana kitu katika ukumbi mkuu wa jengo hilo