An Noor Leicester Community Centre

23 Apr 2016

Our new community website

›
We are pleased to announce the launch of our new website. Please click here to check it out! All updates will be posted in the new websit...
28 Jan 2015

Msaada wa ujenzi wa Msikiti Mafia

›
Wakaazi wa Mafia na baadhi ya vitongoji vyake wanawaomba waislamu wote popote pale duiniani kusaidia ujenzi wa msikiti mpya ambao tayari ume...
15 Jan 2015

Msiba katika mji wa Leicester UK

›
Ndugu Hussein Issa Mohammed wa mjini Leicester anatangaza msiba wa kifo cha mwanawe wa kumzaa Abubakar Hussein kilichotoke siku ya Jumatatu ...
5 Oct 2014

Picha: Eid al Adha 2014 kutoka An Noor Masjid Leicester

›
2 comments:
25 Sept 2014

Tangazo la Sala ya Eid Al Hajj Leicester

›
Asalaam aleykum, An Noor Community Centre wakishirikiana na Madrasatul Noor Leicester wanawajulisha waislamu wote ya kuwa panapo majaal...

Taarifa ya muandamo wa mwezi wa Dhul Hijja, siku ya Arafah na siku ya Eid

›
As-Salaamu 'Alaykum wa RahmatuLLaah wa Barakaatuh Tunapenda kuwaatarifu kwamba mwezi wa Dhul-Hijjah umeandama na hivyo siku ya Alkham...
11 Sept 2014

Documentary: British women are converting to Islam

›

Tangazo la Muhadhara Leicester Uingereza

›
Asalaam Aleykum, Ndugu zangu katika IMANI, An Noor Community Centre wakishirikiana na Madrassatul Noor Leicester kwa pamoja wanakualik...
27 Jul 2014

Sala ya Eid Leicester

›
An Noor Community Leicester Inapenda kuwatangazia waislamu wote ya kuwa Sala ya Eid itaswaliwa katika msikiti wa An Noor sa mbili na nu...
1 comment:
8 Jul 2014

Safari ya Umrah mwaka 2015 kwa wakazi wa Uingereza

›
Kampuni ya Mreh Tours ikishirikiana na Alsharif Tours zote za jijini la Leicester nchini Uingereza zimewaandalia 'OFFER' maalum...
5 Jul 2014

Picha: PBZ yafutarisha wateja wake Pemba

›
  MAKAMO wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na viongozi wa Benk ya watu wa Zanzibar, PBZ Tawi la P...

Picha: Masjid Huda ya Chamazi Mbagala Dar yafunguliwa rasmini na Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi

›
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya SSB. N...
›
Home
View web version

Kuhusu Community

My photo
Madrasatul Noor
Leicester, United Kingdom
View my complete profile
Powered by Blogger.