28 Jan 2012

Wajumbe wa Madrasatul Noor watembelea jengo wanalotegemea kulimiliki huko Leicester town

Jengo linavyoonekana kwa mbele, baadhi ya wajumbe wakiwa wamesimama katika mlango mkubwa wa kuingilia ndani ya jengo hilo

Mwenyekiti na Katibu msaidizi wa Kamati ya Madrasatul Noor wakiwa katika eneo la kuingilia katika ukumbi mkubwa na picha ya chini wakiwa ndani ya ukumbi huo

Ngazi za kuelekea juu kwenye kumbi nyengine pamoja na vyumba na maofisi

Ukumbi mwengine uliopo katika ghorofa ya kwanza

Ukumbi mwengine mdogo katika ghorofa ya kwanza

Ukumbi mwengine katika ghorofa ya kwanza

Corridor ambayo inaonyesha baadhi ya vyumba katika ghorofa ya kwanza

Jiko ambalo lina store yake pamoja na freezer moja kubwa

Mwenyekiti na makamu wake pamoja na mjumbe mkuu wa Kamati wakijadiliana kitu katika moja ya eneo la jikoni

Wajumbe wakiendelea kujadiliana kitu katika ukumbi mkuu wa jengo hilo


No comments:

Post a Comment