21 Jan 2012

Picha: Usafirishaji wa maiti baadhi ya sehemu Bukoba




Hii ni maiti ya mwanamke ikisafirishwa kutoka Ndolage hospitali kuelekea kijijini Ichwandimi, jamaa amekodiwa na mtu aliyefiwa na mke wake. Hii ni mkoani Bukoba.

No comments:

Post a Comment