29 Feb 2012
Wimbi la kupinga kuchomwa moto Qur'ani lawafukuza wafanyakazi wa UN Afghanistan
›
Wimbi kubwa la malalamiko ya wananchi wa Afghanistan dhidi ya kitendo kiovu cha askari wa Marekani cha kuchoma moto Qur'ani Tukufu lim...
Injili ya kale iliyogunduliwa nchini Uturuki yaonesha utabiri wa kudhihiri Mtume Muhammad SAW
›
Nakala ya Injili ya miaka 1500 iliyopita na ambayo imepatikana tena katika kanisa moja nchini Uturuki baada ya kupotea kwa muda wa miaka 1...
26 Feb 2012
Nimeipenda hii
›
Msikiti Madina
Picha: Maulidi ya mfungo sita Toronto Canada
›
Khalfan Abdullah Katika mpango mzima kusoma maulidi ya Mfungo Sita ya Mtume Muhammad. (S.A W) Yaliosomwa siku ya jumamosi Feb 18,20...
2 comments:
Saving Somalia: A wasted effort?
›
23 Feb 2012
Urusi yawaonya Israel juu ya Iran
›
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Gennadi Gatilov Urusi kwa mara nyingine imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusu maafa makubwa yat...
Balozi Seif afungua jengo la Madrasa Hidayatul Islamiyah
›
Makamu wa pili wa Rais akikagua moja ya jeongo la Madrasa Hidayatul Islamia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amese...
Suratul- Fatha
›
بسم الله الرحمن الرحيم (1) الْحَمْدُ للّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ (2) الرَّحْمـنِ الرَّحِيمِ (3) مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ (4) إِيَّاكَ ...
Picha: 7 wafariki katika maandamano ya kupinga uchomaji Quran moto - Afghanistan
›
Baadhi ya Quran zilizokutwa zimechomwa moto Takriban raia saba wa Afghanistan waliuwawa kwa kupigwa risasi na wengine wakajeruhiwa jana ...
18 Feb 2012
Adabu za majumbani - Sheikh Harith Swaleh
›
15 Feb 2012
Kijana ajichoma moto mbele ya lango la Ikulu Mauritania
›
Kijana wa Mauritania ambaye bado damu yake inaendelea kuchemka na bado ni nguvu kazi ya Taifa,ameamua kujiwasha moto ili afe mbele ya je...
Mtoto wa kiswahili awashangaza watangazaji wa TV kwa kipaji chake
›
‹
›
Home
View web version