Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dr Shukuru Kawambwa akiwasili katika viwanja vya Kidongo Chekundu Dar es salaam kuzngumza na wanafunzi wa kiislamu walioandamana kupinga uamuzi uongozi wa shule ya sekondari ya Ndanda wa kuwafukuza wanafunzi wenzao 20
Dr Kawambwa akihutubia wanafunzi hao katika viwanja vya Kidongo chekundu jijini Dar es salaam
Rais wa wanafunzi wa kiisalm ndugu Jaffar Mneto akizungumza na wanafunzi ambao walifanya maandamano ya amani katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam
Jeshi la polisi liliimarisha ulinzi katika viwanja vya Kidongo chekundu
Wanafunzi wakiwa wanamsikiliza waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi katika viwanja vya Kidongo Chekundu, ambapo wanafunzi hao waliandamana kupinga uongozi wa shule ya sekondari ya Ndanda kuwafukuza wanafunzi wenzao 20
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu Suleiman Kova akiagana na waziri Dr Kawambwa baada ya kumaliza kuzungumza na wanafunzi wa kiislamu katika viwanja vya Kidong Chekundu jijini Dar
No comments:
Post a Comment